sw_act_text_ulb/22/12.txt

1 line
251 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 12 Huko nikakutana na mtu aitwaye Anania, alikuwa mtu aliyeshika sheria na mwenye kuheshimika mbele ya Wayahudi wote walioishi huko. \v 13 Akaja kwangu, akasimama mbele yangu, na kusema, 'Ndugu yangu Sauli, upate kuona. 'Kwa muda ule ule nikamuona.