sw_act_text_ulb/28/28.txt

1 line
271 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 28 Kwa hiyo, mnapaswa kujua kwamba huu wokovu wa Mungu umepelekwa kwa watu wa Mataifa, na watasikiliza." (Zingatia: Mstari huu \v 29 "Wakati alipokuwa amesema mambo haya, wayahudi waliondoka, wakiwa na mashindano makubwa kati yao.," haumo kwenye nakala bora za kale).