sw_act_text_ulb/12/13.txt

1 line
392 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 13 Alipobisha kwenye mlango wa lango, mtumishi mmoja msichana anayeitwa Roda akaja kufungua. \v 14 Alipotambua ni sauti ya Petro, kwa furaha akashindwa kuufungua mlango; badala yake, akakimbia ndani ya chumba; na kuwajulisha kuwa Petro amesimama mbele ya Mlango. \v 15 Hivyo, Wakasema kwake, "Wewe ni mwendawazimu" lakini alisisitiza kuwa ni kweli ni yeye. Wakasema "Huyo ni malaika wake."