sw_act_text_ulb/11/27.txt

1 line
228 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 27 Sasa katika siku hizi manabii wakashuka kutoka Yerusalemu mpaka Antiokia. \v 28 Mmoja wao, ni Agabo kwa jina , akasimama na kuonyeshwa na Roho kuwa njaa kubwa ingetokea duniani kote. Hii ilitokea wakati wa siku za Klaudio.