sw_act_text_reg/26/06.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 6 Sasa nimesimama hapa nihukumiwe kwa sababu mimi naliangalia ahadi ambayo Mungu aliifanya na baba zetu. \v 7 Hii ni ahadi ambayo makabila yetu kumi na mbili yanatumaini kupokea kama wakimwabudu Mungu kwa bidii usiku na mchana. Ni kwa ajili ya tumaini hili, mfalme Agripa, kwamba Wayahudi wananishitaki. \v 8 Kwa nini yeyote kati yenu anafikiri ni ajabu kwamba Mungu hufufua wafu?