sw_act_text_reg/25/21.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 21 Lakini Paulo alipoitwa awekwe chini ya ulinzi kwa ajili ya uamuzi wa Mfalme, niliamuru awekwe hata nitakapompeleka kwa Kaisari. ' \v 22 Agripa alizungumza na Festo, "ningependa pia kumsikiliza mtu huyu." "Festo, akasema, "kesho utamsikiliza."