sw_act_text_reg/24/24.txt

1 line
346 B
Plaintext

\v 24 Baada ya siku kadhaa, Feliki akarudi na Drusila mkewe aliyekuwa Myahudi, akatuma kumwita Paulo na akasikiliza toka kwake habari za imani ndani ya Kristo Yesu. \v 25 Ila Paulo alipokuwa akijadiliana naye kuhusu haki, kuwa na kiasi na hukumu itakayokuja, Feliki akapata hofu akajibu, "nenda mbali kwa sasa, ila nikipata muda tena, nitakuita."