sw_act_text_reg/23/28.txt

1 line
397 B
Plaintext

\v 28 Nilitaka kujua kwa nini wamemshtaki, hivyo nikampeleka kwenye baraza. \v 29 Nikaona kwamba alikuwa ameshitakiwa kwa ajili ya maswali ya sheria yao, wala hakushitakiwa neno lolote la kustahili kuuawa wala kufungwa. \v 30 Kisha ikajulikana kwangu kwamba kuna njama dhidi yake, hivyo kwa haraka nikamtuma kwako, na kuwaagiza wanaomshitaki pia walete mashitaka dhidi yake mbele yako. Wakaagana."