sw_act_text_reg/23/25.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 25 Akaandika barua kwa namna hii, \v 26 Klaudio Lisia kwa Liwali mtukufu Feliki, salamu. \v 27 Mtu huyu alikamatwa na wayahudi wakawa karibu kumwua, ndipo nikaenda pamoja na kikosi cha askari nikamwokoa, nilipopata habari ya kuwa yeye ni raia wa kirumi.