sw_act_text_reg/23/22.txt

1 line
407 B
Plaintext

\v 22 Basi yule jemadari mkuu akamwacha kijana aende zake, baada ya kumwagiza "usimwambie mtu yeyote ya kwamba umeniarifu haya." \v 23 Akawaita maakida wawili akasema watayarisheni askari mia mbili kwenda Kaisaria na askari wapanda farasi sabini, na wenye mikuki mia mbili, mtaondoka zamu ya tatu ya usiku. \v 24 Akawaambia kuweka wanyama tayari ambaye Paulo atamtumia na kumchukua salama kwa Feliki Gavana.