sw_act_text_reg/23/18.txt

1 line
290 B
Plaintext

\v 18 Basi akida akamchukua yule kijana akampeleka kwa jemedari mkuu akamwambia, "Paulo yule mfungwa aliniita akataka nikuletee kijana huyu kwako. Ana neno la kukuambia." \v 19 Yule jemadari mkuu akamshika kwa mkono akajitenga naye kando, na akamwuliza, "Ni kitu gani unachotaka kuniambia?"