sw_act_text_reg/23/14.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 14 wakaenda kwa wakuu wa makuhani na wazee na kusema, "Tumejiweka wenyewe kwenye laana kuu, tusile chochote hadi tutakapomwua Paulo. \v 15 Hivyo sasa, baraza limwambie jemadari mkuu amlete kwenu, kana kwamba mnaamua kesi yake kwa usahihi. Kwetu sisi tuko tayari kumwua kabla hajaja hapa."