sw_act_text_reg/23/04.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 4 Wale waliokuwa wamesimama karibu naye wakasema, "Hivi ndivyo unavyomtukana kuhani mkuu wa Mungu?" \v 5 Paulo akasema, "ndugu zangu, mimi sikujua kwamba huyu ni kuhani mkuu. Kwa kuwa imeandikwa, hutazungumza vibaya juu ya mtawala wa watu wako."