sw_act_text_reg/22/25.txt

1 line
306 B
Plaintext

\v 25 Hata walipokuwa wamemfunga kwa kamba, Paulo akamwambia yule akida aliye simama karibu naye, "Je! ni haki kwenu kumpiga mtu aliye Mrumi na bado hajahukumiwa?" \v 26 Yule akida aliposikia maneno haya, akaenda kwa jemedari mkuu na kumwambia, akisema, "Unataka kufanya nini? Kwa maana mtu huyu ni mrumi."