sw_act_text_reg/22/14.txt

1 line
325 B
Plaintext

\v 14 Akasema, 'Mungu wa baba zetu amekuchagua wewe upate kujua mapenzi yake, kumuona yule mwenyehaki, na kusikia sauti itokayo kwenye kinywa chake. \v 15 Kwa sababu utakuwa shahidi kwake kwa watu wote juu ya uliyoyaona na kusikia. \v 16 Basi sasa kwa nini unasubiri? Amka, ubatizwe, ukaoshe dhambi zako, ukiliita jina lake.'