sw_act_text_reg/19/05.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 5 Watu waliposikia habari hii, wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu. \v 6 Na ikawa Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao na wakaanza kunena kwa lugha na kutabiri. \v 7 Jumla yao walikuwa wanaume wapatao kumi na wawili.