sw_act_text_reg/19/01.txt

1 line
271 B
Plaintext

\v 1 Ikawa kwamba Apolo alipokuwa Korintho, Paulo akapita nyanda za juu na kufika katika mji wa Efeso, na akakuta wanafunzi kadhaa huko. \v 2 Paulo akawaambia, "Je, mlipokea Roho Mtakatifu mlipoamini?" Wakamwambia, "Hapana, hatukuweza hata kusikia kuhusu Roho Mtakatifu."