sw_act_text_reg/18/14.txt

1 line
320 B
Plaintext

\v 14 Wakati Paulo alipokuwa akitaka kusema, Galio akawaambia Wayahudi, "Ninyi Wayahudi, kama ingelikuwa ni kosa au uhalifu, ingekuwa halali kuwashughulikia. \v 15 Lakini kwa sababu ni maswali, yanayohusu maneno na majina, na sheria zenu, basi hukumuni ninyi wenyewe. Mimi sitamani kuwa hakimu kwa habari ya mambo hayo."