sw_act_text_reg/18/09.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 9 Bwana akamwambia Paulo usiku kwa njia ya maono, "Usiogope, lakini ongea na usinyamaze. \v 10 Kwani Mimi niko pamoja nawe, na hakuna atakayejaribu kukudhuru, maana nina watu wengi katika mji huu". \v 11 Paulo akakaa huko kwa muda wa mwaka mmoja na miezi sita akifundisha neno la Mungu miongoni mwao.