sw_act_text_reg/18/01.txt

1 line
388 B
Plaintext

\v 1 Baada ya mambo hayo, Paulo aliondoka Athene kwenda Korintho. \v 2 Huko akampata Myahudi aitwaye Akwila mtu wa kabila la Ponto, yeye na mke wake aitwaye Prisila walikuja kutoka huko Italia, kwa sababu Klaudia aliamuru Wayahudi wote waondoke Roma; Paulo akaja kwao; \v 3 Paulo akaishi na kufanya kazi nao kwani yeye anafanya kazi inayofanana na yao. Wao walikuwa ni watengeneza mahema.