sw_act_text_reg/17/03.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 3 Alikuwa akiwafungulia maandiko na kuwaeleza kuwa, ilimpasa Kristo ateseke na kisha kufufuka tena kutoka kwa wafu. Aliwaambia, "Huyu Yesu ninayewaambia habari zake ndiye Kristo" \v 4 Baadhi ya Wayahudi walishawishika na kuungana na Paulo na Sila, pamoja na Wagiriki wachamungu, akinamama wengi waongofu na kundi kubwa la watu.