sw_act_text_reg/14/27.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 27 Walipofika huko Antiokia, na kulikusanya kusanyiko la pamoja, wakatoa taarifa ya mambo ambayo Mungu amefanya kwao, na jinsi alivyowafungulia mlango wa imani kwa watu wa Mataifa. \v 28 Walikaa kwa muda mrefu na wanafunzi.