sw_act_text_reg/13/50.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 50 Lakini wayahudi waliwasihi waliojitoa na wanawake muhimu, pia na viongozi wa mji. Haya yalichochea mateso dhidi ya Paulo na Barnaba na waliwatupa nje ya mipaka ya mji. \v 51 Lakini Paulo na Barnaba walikung'uta vumbi ya miguu yao. Kisha walienda kwenye mji wa Ikonia. \v 52 Na wanafunzi walijawa na furaha pamoja na Roho mtakatifu.