sw_act_text_reg/13/40.txt

1 line
246 B
Plaintext

\v 40 Hivyo basi kuweni waangalifu kwamba kitu walichokiongelea manabii kisitokee kwenu: \v 41 'Tazama, enyi mnaodharau, na mkashangae na mkaangamie; kwa vile nafanya kazi katika siku zenu, Kazi ambayo hamwezi kuiamini, hata kama mtu atawaeleza."