sw_act_text_reg/13/30.txt

1 line
181 B
Plaintext

\v 30 Lakini Mungu alimfufua kutoka wafu. \v 31 Alionekana kwa siku nyingi kwa wale waliokwenda pamoja naye kutoka Galilaya kuelekea Yerusalemu. Watu hawa sasa ni mashahidi wa watu.