sw_act_text_reg/13/28.txt

1 line
187 B
Plaintext

\v 28 Japokuwa hawakupata sababu nzuri kwa kifo ndani yake, walimwomba Pilato amuue. \v 29 Walipomaliza mambo yote yaliyoandikwa kuhusu yeye, walimshusha kutoka mtini na kumlaza kaburini.