sw_act_text_reg/12/16.txt

1 line
292 B
Plaintext

\v 16 Lakini Petro aliendelea kubisha, na walipofungua mlango, wakamwona na wakashangaa sana. Petro akawanyamazisha kwa mkono kimya kimya na akawaambia jinsi Bwana alivyomtoa kutoka Gerezani. akasema, \v 17 "Wajulishe haya mambo Yakobo na ndugu zake." Kisha akaondoka akaenda sehemu nyingine.