sw_act_text_reg/12/13.txt

1 line
391 B
Plaintext

\v 13 Alipobisha kwenye mlango wa kizuizi, mtumishi mmoja msichana anayeitwa Roda akaja kufungua. \v 14 Alipotambua ni sauti ya Petro, kwa furaha akashindwa kuufungua mlango; badala yake, akakimbia ndani ya chumba; na kuwajulisha kuwa Petro amesimama mbele ya Mlango. \v 15 Hivyo, Wakasema kwake, "Wewe ni mwendawazimu" lakini alikazia kuwa ni kweli ni yeye. Wakasema "Huyo ni malaika wake."