sw_act_text_reg/12/07.txt

1 line
331 B
Plaintext

\v 7 Tazama, malaika wa Bwana ghafla akamtokea na nuru ikang'aa ndani. Akampiga Petro ubavuni na kumwamsha akisema, "Amka haraka."ndipo minyororo aliyokuwa amefungwa ikafunguka kutoka mikononi mwake. \v 8 Malaika akamwambia, "Vaa nguo zako na vaa viatu vyako." Petro akafanya hivyo. Malaika akamwambia, "Vaa vazi lako na unifuate."