sw_act_text_reg/12/01.txt

1 line
158 B
Plaintext

\v 1 Wakati huo mfalme Herode akanyosha mkono wake kwa baadhi ya wale wanaotoka kwenye kusanyiko ili kuwatesa. \v 2 Akamwuua Yakobo nduguye Yohana kwa upanga.