sw_act_text_reg/09/40.txt

1 line
443 B
Plaintext

\v 40 Petro akawatoa wote nje ya chumba, akapiga magoti akaomba, kisha akaugekia mwili, akasema, "Tabitha, amka". Akafungua macho yake na alipomwona Petro akakaa chini. \v 41 Kisha Petro akampa mkono wake akamwinua, na alipowaita waamini na wajane, akawakabidhi kwao akiwa hai \v 42 Jambo hili likajulikana Yafa yote, na watu wengi wakamwamini Bwana. \v 43 Ilitokea Petro akakaa siku nyingi Yafa pamoja na mtu aitwaye Simoni, mtengeneza ngozi.