sw_act_text_reg/07/59.txt

1 line
220 B
Plaintext

\v 59 Walipokuwa wakimpiga mawe Stefano, aliendelea kumwita Bwana na kusema, "Bwana Yesu, pokea roho yangu,". \v 60 Akapiga magoti na kuita kwa sauti kubwa, "Bwana, usiwahesabie dhambi hii. "Aliposema haya, akakata roho.