sw_act_text_reg/07/51.txt

1 line
401 B
Plaintext

\v 51 Enyi watu wenye shingo ngumu msiotahiriwa mioyo na masikio, kila mara mnampinga Roho Mtakatifu,' mnatenda kama baba zenu walivyotenda. \v 52 Ni nabii gani katika manabii ambaye baba zenu hawakumtesa?. Waliwaua manabii wote waliotokea kabla ya ujio wa Mmoja mwenye Haki,'na sasa mmekuwa wasaliti na wauaji wake pia, \v 53 enyi watu mliopokea sheria ile iliyoagizwa na malaika lakini hamkuishika."