sw_act_text_reg/07/47.txt

1 line
370 B
Plaintext

\v 47 Lakini Selemani alimjengea nyumba ya Mungu. \v 48 Hata hivyo Aliye Juu haishi kwenye nyumba zilizojengwa kwa mikono; hii ni kama nabii alivyosema, \v 49 Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni sehemu ya kuwekea miguu yangu. Nyumba ya aina gani mtanijengea?, asema Bwana: au ni wapi sehemu yangu ya kupumzikia? \v 50 Siyo mkono wangu uliofanya hivi vitu vyote?'