sw_act_text_reg/07/26.txt

1 line
337 B
Plaintext

\v 26 Siku iliyofuata akaenda kwa baadhi ya Waisraeli waliokuwa wanagombana; akajaribu kuwapatanisha; akisema,' Mabwana, Ninyi ni ndugu; mbona mnakoseana ninyi kwa ninyi,? \v 27 Lakini aliyemkosea jirani yake akamsukumia mbali, na kusema, 'Nani kakufanya mtawala na muhukumu wetu? \v 28 Wewe unataka kuniua, kama ulivyomuua Mmisri jana?"