sw_act_text_reg/07/14.txt

1 line
356 B
Plaintext

\v 14 Yusufu akawatuma ndugu zake kwenda kumwambia Yakobo baba yao aje Misri, pamoja na jamaa yake, jumla ya watu wote ni sabini na tano. \v 15 Hivyo Yakobo akashuka Misri; kisha akafa yeye pamoja na baba zetu. \v 16 Wakachukuliwa hata Shekemu wakazikwa katika kaburi ambalo Abrahamu alilinunua kwa vipande vya fedha kutoka kwa wana wa Hamori huko Shekemu.