sw_act_text_reg/03/09.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 9 Watu wote walimwona akitembea na akimsifu Mungu. \v 10 Wakatambua kwamba alikuwa ni yule mtu ambaye alikuwa akikaa akiomba sadaka kwenye mlango mzuri wa hekalu; walijawa na mshangao na kustaajabu kwa sababu ya kile kilichotokea kwake.