sw_act_text_reg/03/04.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 4 Petro, akimkazia macho, pamoja na Yohana, alisema,"tutazame sisi." \v 5 Kiwete akawatazama, akitazamia kupokea kitu fulani kutoka kwao. \v 6 Lakini Petro akasema, "fedha na dhahabu mimi sina, lakini kile nilichonacho nitatoa kwako. Katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth, tembea."