sw_act_text_reg/03/01.txt

1 line
361 B
Plaintext

\v 1 Sasa Peter na Yohana walikuwa wanaelekea katika hekalu wakati wa maombi, saa tisa. \v 2 Mtu fulani, kiwete tangu kuzaliwa, alikuwa akibebwa kila siku na alikuwa akilazwa katika mlango wa hekalu uitwao mzuri, ili aweze kuomba sadaka kutoka kwa watu waliokuwa wakielekea hekaluni. \v 3 Alipowaona Petro na Yohana wanakaribia kuingia hekaluni, aliomba sadaka.