sw_act_text_reg/26/30.txt

1 line
300 B
Plaintext

\v 30 Ndipo mfalme alisimama, na liwali, na Bernike pia, na wale waliokuwa wamekaa pamoja nao, \v 31 walipoondoka ukumbini, walizungumzia wao kwa wao na kusema, 'Mtu huyu hastahili kifo wala kifungo.' \v 32 Agripa akamwambia Festo, "Mtu huyu angeweza kuwekwa huru kama asingekata rufani kwa Kaisari."