sw_act_text_reg/26/27.txt

1 line
333 B
Plaintext

\v 27 Je, unaamini manabii, Mfalme Agripa? Najua kwamba unaamini. ' \v 28 Agripa akamwambia Paulo, 'Kwa muda mfupi unaweza kunishawishi mimi na kunifanya Mkristo? \v 29 Paulo akasema, '"Namwomba Mungu kwamba, kwa muda mfupi au mrefu, si wewe tu, bali pia wote wanaonisikia leo, wawe kama mimi, lakini bila hii minyororo ya gerezani."