sw_act_text_reg/25/11.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 11 Ikiwa nimekosa na kama nimefanya kinachostahili kifo, sikatai kufa. Lakini kama shutuma zao si kitu, hakuna mtu anaweza kunikabidhi kwao. Ninamwomba Kaisari. ' \v 12 Baada ya Festo kuongea na baraza akajibu, " unamwomba Kaisari; utaenda kwa Kaisari."