sw_act_text_reg/24/04.txt

1 line
390 B
Plaintext

\v 4 Lakini nisikuchoshe zaidi, nakusihi unisikilize maneno machache kwa fadhili zako. \v 5 Kwa maana tumempata mtu huyu mkorofi, na anasababisha Wayahudi wote kuasi duniani. Tena ni kiongozi wa madhehebu ya Wanazorayo. (Zingatia: Sehemu ya maneno ya mstari huu 24: 6 \v 6 Na tena alijaribu kulitia hekalu unajisi hivyo tukamkamata., haumo kwenye nakala bora za kale). (Zingatia: Mstari huu