\v 1 "Ndugu na baba zangu, sikilizeni utetezi wangu nitakaofanya kwenu sasa." \v 2 Makutano walipo sikia Paulo akiongea nao kwa kiebrania, wakanyamaza. Akasema,