sw_act_text_reg/20/36.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 36 Baada ya kusema namna hii, alipiga magoti akaomba pamoja nao. \v 37 Wote wakalia sana na kumwangukia Paulo shingoni na kumbusu. \v 38 Walihuzunika zaidi ya yote kwa sababu ya kile ambacho alikuwa amesema, kwamba kamwe hawatauona uso wake tena. Kisha wakamsindikiza merikebuni.