sw_act_text_reg/19/23.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 23 Wakati huo kulitokea ghasia kubwa huko Efeso kuhusu ile Njia. \v 24 Sonara mmoja jina lake Demetrio, ambaye aliyetengeneza visanamu vya fedha vya mungu Diana, alileta biashara kubwa kwa mafundi. \v 25 Hivyo akawakusanya mafundi wa kazi hiyo na kusema, "Waheshimiwa, mnajua kwamba katika biashara hii sisi tunaingiza pesa nyingi.