sw_act_text_reg/19/13.txt

1 line
326 B
Plaintext

\v 13 Lakini palikuwapo Wayahudi wapunga pepo wakisafiri kupitia eneo hilo, wakilitumia jina la Yesu kwa ajili ya matumizi yao wenyewe. Wakiwaambia wale walikuwa na pepo wachafu; Wakisema, "Ninawaamuru mtoke kwa jina la Yesu ambaye Paulo anamhubiri." \v 14 Waliofanya haya walikuwa wana saba wa kuhani Mkuu wa Kiyahudi, Skewa.