sw_act_text_reg/18/20.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 20 Walipomwambia Paulo akae nao kwa muda mrefu, yeye alikataa. \v 21 Lakini akaondoka kwao, akawaambia, "Nitarudi tena kwenu, ikiwa ni mapenzi ya Mungu". Baada ya hapo, akaondoka kwa meli kutoka Efeso.