sw_act_text_reg/18/16.txt

1 line
188 B
Plaintext

\v 16 Galio akawaamuru waondoke mbele ya kiti cha hukumu, \v 17 Hivyo, wakamkamata Sosthene, kiongozi wa sinagogi, wakampiga mbele ya kiti cha hukumu. Lakini Galio hakujali walichokifanya.