sw_act_text_reg/18/12.txt

1 line
212 B
Plaintext

\v 12 Lakini Galio alipofanywa mtawala wa Akaya, Wayahudi walisimama pamoja kinyume na Paulo na kumpeleka mbele ya kiti cha hukumu, \v 13 wakisema, "Mtu huyu huwashawishi watu wamwabudu Mungu kinyume cha sheria".